ACCOUNTS OFFICER II (AFISA HESABU DARAJA LA II) JOB VACANCIES MAY 2022: 100 POSTS, Sekretariat ya Ajira (PSRS), UTUMISHI.
ACCOUNTS OFFICER II (AFISA HESABU DARAJA LA II) JOB VACANCIES MAY 2022: 100 POSTS
POST DETAILS
POST: AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) - 100 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2022-05-28 2022-06-07
JOB SUMMARY NA
Read Also:
- New Job Vacancy at World Vision International (WVI) 2022
- 10 New Job Vacancies at PSI Tanzania 2022
- RTI International New Job, Finance & Admin Officer
AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.kushiriki kutayarisha hesabu za mfuko maalum
ii.kushiriki kutayarisha hesabu za miradi
iii.Kushiriki urejeshwaji wa masurufu
iv.Kuandaa taarifa ya masurufu ya safari na masurufu maalum
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA, Shahada ya Biashara au Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.
AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) REMUNERATION TGS.D
Sekretariat ya Ajira (PSRS), UTUMISHI
Deadline for submitting your application is 07 June 2022