KATIBU WA SHERIA DARAJA LA II - 28 POST, May 2022 JOB VACANCIES AT MDAs & LGAs IN MAY 2022 AS ANNOUNCED BY Sekretariat ya Ajira(PSRS), UTUMISHI.
KATIBU WA SHERIAÂ DARAJA LA II - 28 POST, May 2022
 Â
POST DETAILS
POST: KATIBU WA SHERIA DARAJA LA II - 28 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2022-05-28 2022-06-07
JOB SUMMARY: NA
Recommended:
- Job Vacancy at ALAF 2022
- Job Vacancy at Korridor
- HESLB Job Vacancies June 2022: Loan Officer (48 Posts)
KATIBU WA SHERIAÂ DARAJA LA IIÂ DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kupanga zamu za kazi za Mawakili wa Serikali kila juma kwa kushirikiana na Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani;
ii.Kuwasiliana na Mahakama za Wilaya na Mahakama Kuu kuhusu kusikilizwa kwa kesi za jinai na rufani;
iii.Kutayarisha taarifa za kila mwezi za kesi za mauaji na kutayarisha hati za Sheria (Legal documents, Affidavit n.k);
iv.Kuandaa mashauri ya madai Mahakama Kuu na Mahakama za Wilaya;
v.Kupokea malalamiko ya mashauri ya madai;
vi.Kuwasimamia Makatibu wa Sheria Wasaidizi; na
vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sheria kutoka chuo kinachotambuliwa na SerikaliÂ
KATIBU WA SHERIAÂ DARAJA LA IIÂ REMUNERATION TGS.C
Sekretariat ya Ajira(PSRS), UTUMISHI