PERSONAL SECRETARY JOB VACANCIES MAY 2022: 10 POST. The Sekretariat ya Ajira (PSRS), UTUMISHI is currently seeking for eligible candidates to...
PERSONAL SECRETARY 10 new JOB VACANCIESÂ |
PERSONAL SECRETARY 10 new JOB VACANCIESÂ
POST DETAILS
POST KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (PERSONAL SECRETARY GRADE III) - 10 POST
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:Â 2022-05-28 2022-06-07
JOB SUMMARY NA
PERSONAL SECRETARY GRADE III DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
ii.Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
iii.Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa wakati unaohitajika.
iv.Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majadala, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.
v.Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
vi.Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
vii.Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Recommended:
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu za Window, Microstoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
PERSONAL SECRETARY GRADE III REMUNERATION TGS. B
Sekretariat ya Ajira (PSRS), UTUMISHI
Deadline for submitting your application is 07 June 2022