Job Opportunities at TANLIGHT INTERTRADE. TANLIGHT INTERTRADE Company based in Tabata advertises PROTECTION job opportunities for an experienced...
Job Opportunities at TANLIGHT INTERTRADE
TANLIGHT INTERTRADE Company based in Tabata advertises PROTECTION job opportunities for an experienced person.
Applicant Qualifications:
• Be 18-35 years old.
• Must be a Form Four graduate.
• Must have passed ranger training from any government-recognized college.
• Residence and citizenship identity.
• She must be a woman. Tasks to do:
• Ensure that any office property provided at the gate has a certificate of approval.
• Ensure that any property entering the gate has its validity certificates.
• Protect the security of buildings, offices and office property day or night.
Attachment Items:
• Citizenship ID.
• Form Four Certificate.
• Ranger Certificate.
• Application letter.
• Passport (photo)
• CV All applications should be sent to the following
email: resultszamba01@gmail.com
See Also:
The deadline for applications is Tuesday, 31/05/2022. All applications should be sent to the following address: DIRECTOR, TANLIGHT INTERTRADE INVESTMENT, P.O BOX 79061, DAR ES SALAAM
Kampuni ya TANLIGHT INTERTRADE iliyopo Tabata inatangaza nafasi za kazi ya ULINZI kwa mtu mwenye uzoefu.
Sifa za Mwombaji:
• Awe na umri wa miaka 18-35.
• Awe amehitimu kidato cha nne.
• Awe amefaulu mafunzo ya mgambo kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali.
• Utambulisho wa makazi na uraia.
• Ni lazima awe mwanamke.
Kazi za kufanya:
• Kuhakikisha kuwa mali yoyte ya ofisini inayotolewa langoni ina hati ya idhini.
• Kuhakikisha kuwa mali yoyote inayoingia langoni inazo hati za uhalali wake.
• Kulinda usalama wa majengo, ofisi na mali za ofisi mchana au usiku.
Vitu vya Kuambatinisha:
• Kitambulisho cha Uraia.
• Cheti cha Form Four.
• Cheti cha Mgambo.
• Barua ya maombi.
• Passport (picha)
• Wasifu (CV)
Maombi yote yatumwe kwa email ifuatayo: matokeozamba01@gmail.com
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe Jumanne, 31/05/2022.
Maombi yote yatumwe kwenye anuani ifuatayo: